Blog hii inatarajia kuwafundisha na kuwatoa vijana wengi kwenye shimo na kuwaweka kwenye uwazi kuhusu maisha ya Mapenzi na Ujana kabla na baada ya ndoa
Monday, July 13, 2015
Heshimu hisia zako
Onesha upendo kwenye music kama ukuoneshavyo wewe unapokuwa umekosa peace of mind na ma stress ya kutosha, music hufungua mishipa ya damu iliyo zibwa kwa majonzi na kukufanya ufikirie vizuri na kuwa na amani ya kutosha.
Sometime unaweza ukawa mtu uliyekata tamaa lakini music hutia moyo na kukufanya uwe na nguvu mpya
tazama mfano wanajeshi katika mambo yao lazima watatia hata music kidogo kutiana moyo
si unafeel so cool unapokuwa umetulia home na washikaji unakula masong ya kumwagaa
show love hisia zako
Subscribe to:
Comments (Atom)
KWANINI NAACHIKA NA KILA MPENZI?
MAPENZI NI NINI? Mapenzi ni hali ya kuwa na ukaribu wa kihisia kingono kati ya mwanamke na mwanaume. Mvutano wa kihisia kati ya jinsia hizo ...
-
Njoo WhatsApp +255756440628
-
Ujasiri ni nini? Ujasiri ni hali ya kuamua kufanya jambo gumu linaloweza kuwa si rahisi moyo wako au mtu mwingine kuamua kulifanya bali u...
-
MAPENZI NI NINI? Mapenzi ni hali ya kuwa na ukaribu wa kihisia kingono kati ya mwanamke na mwanaume. Mvutano wa kihisia kati ya jinsia hizo ...
