Wednesday, February 14, 2024

KWANINI NAACHIKA NA KILA MPENZI?

MAPENZI NI NINI?

Mapenzi ni hali ya kuwa na ukaribu wa kihisia kingono kati ya mwanamke na mwanaume. Mvutano wa kihisia kati ya jinsia hizo unaunda mapenzi kila mmoja wao anaanza kujali kuhusu mwingine na kuvutiwa nae kingono.





Jibu: kwanza kama mapenzi ni mvutano wa kihisia pia unaweza kuwa mvunjiko wa kihisia baini ya wapendanao.

Unajua katika hali ya kawaida mapenzi huweza kuvunjika tu, kwasababu huyo mtu ambaye unamahusiano nae mmekutana ukubwani na kutengana inawezekana.

KWA MWANAUME.
1. NAMNA ULIVYO MTONGOZA AU UMEMPATA MWANAMKE WAKO.
Unajua kila mwanaume ana mbinu yake ya kumpata mwanamke ampendae japo kuwa kuwa yawezekana maneno yanaweza kufanana
sasa kwamfano mtu anamtongoza mwanamke wa kujiweka yeye ni tajiri inagli hana kitu, vipi mwanamke akigundua amedanganya hapo kutakuwa na mahusiano kweli? ni wachahche wanaweza kuvumilia lakini wengi wana weza kukimbia.

2. UBAHILI
Mwaname ukiwa bahili sana unaijua fedha wala hauthamini shida za mwenza wako ni rahisi kukimbiwa na mwandani wako akaenda kwa wale ambao wanajua kujitoa hata kwa jambo dogo
Mwanamke anahitaji kupendwa na kujaliwa kwenye kula, kuvaa, kusuka, kupewa vijizawadi hata kama ni kidogo tu.

3. UCHAFU, ULEVI, UHUNI, WIZI, UGOMVI, URAFI, NK
Lazima ujifunze kuwa mtu wa kawaida

KWANINI NAACHIKA NA KILA MPENZI?

MAPENZI NI NINI? Mapenzi ni hali ya kuwa na ukaribu wa kihisia kingono kati ya mwanamke na mwanaume. Mvutano wa kihisia kati ya jinsia hizo ...