Mapenzi ni hali ya kuwa na ukaribu wa kihisia kingono kati ya mwanamke na mwanaume. Mvutano wa kihisia kati ya jinsia hizo unaunda mapenzi kila mmoja wao anaanza kujali kuhusu mwingine na kuvutiwa nae kingono.
![]() |
Blog hii inatarajia kuwafundisha na kuwatoa vijana wengi kwenye shimo na kuwaweka kwenye uwazi kuhusu maisha ya Mapenzi na Ujana kabla na baada ya ndoa
Mapenzi ni hali ya kuwa na ukaribu wa kihisia kingono kati ya mwanamke na mwanaume. Mvutano wa kihisia kati ya jinsia hizo unaunda mapenzi kila mmoja wao anaanza kujali kuhusu mwingine na kuvutiwa nae kingono.
![]() |
Mitihani katika maisha ya kila mwanadamu ni jambo ambalo ni la kawaida na ni haki ya kila mmoja wapo anayeishi kwenye huu ulimwengu. Maandiko ya kidini pia hayajamuahidi yeyote kuishi katika raha na starehe bali ni masumbuko mitihani na magumu mpaka siku yake ya mwisho ya kuishi hapa ulimwnguni.
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu)
1. Magonjwa ya kudumu au magonjwa ya kupita
2. Kufilisika kiuchumi, kupoteza mali zako, kuibiwa n.k
3. Mapenzi na mahusiano
4. Kukosa ajira, kipato
5. Umasikini
6. Kifo, kufiwa
7. Kufukuzwa kazi
8. Majanga ya asili kama vile mafuriko, matetemeko, vimbunga, magonjwa n.k
9. Kudhurumiwa, kutapeliwa, kudanganywa n.k
10. Ajari n.k
Zote hizo ni baadhi ya changamoto ambazo mtu unaweza kukumbana nazo muda wowote katika maisha ya kila siku.
NJIA BORA ZA KUEPUKANA AU KUFAULU KUPAMBANA NA MATATIZO HAYA YA KILA SIKU
1. KUMTEGEMEA MUNGU KWA KILA JAMBO✝✝✝
zipo changamoto nyingi sana mabazo kwa uwezo wetu na akili za kawaida hatuwezi kutatua bali MUNGU pekee ndiye anaweza kuzitatua. kama mwanadamu wa kawaida nadhani tunashuhudia mengi ambayo yako nje ya uwezo wetu (beyond human Nature) hivyo hakuna njia ya kupambana nayo bali ni kusimama na imani zetu na Kuomba MUNGU atuepushie kila lililo nje ya uwezo wetu. mfano Magonjwa mfano mzuri Covid 19, majanga ya asili mfano Tsunami tunashudia nchi za Indonesia, Thailand, India, Sri-Lanka, Malaysia, Myanmar, Bangladesh, Maldives, Reunion Island (French), Seychelles, Madagascar, Mauritius, Somalia, Tanzania, Kenya, Oman, South Africa and Australia.
2. KUPAMBANA KWA BIDII NA MAARIFA
inakuhitaji Bidii sana na maarifa ili kupambana na changamoto hizo zilizotajwa
Ugonjwa wa kupooza (stroke) au wengine huita ugonjwa wa kiharusi ni aina ya ugonjwa ambao huathiri mfumo wa fahamu na neva za mwili kiujumla. Ugonjwa huu awali ulikuwa unaweza kuwapata watu wenye umri wa juu au makamo lakini kwa sasa ugonjwa huu unaweza kumpata mtu yeyote yule kuanzia umri wa kati.
Stroke/kiharusi ni ugonjwa mbaya lakini unamatibau yake ambapo mgonjwa anaweza kutibiwa na akapona japo wengine wanapata ulemavu wa viungo na kuathiri ogani za mwili.
AINA ZA STROKE/KUPOOZA
kuna aina Mbili za ugonjwa huu wa kupooza
1. Ischemic stroke
Aina hii ya stroke hutokana na Mishipa ya damu kushindwa kusukuma damu ndani ya mishipa na kusababisha damu kurundikana na kuganda kwenye mishipa iliyopo kwenye Ubongo wa Binadamu. tukio hili hutokea ghafla kama umeme pale ambapo damu au chembe nyekundu za damu zimerundikana sehemu na kufanya mawasiliano ya baadhi ya mishipa kukata hivyo kusababisha kupooza kwa mwili katika sehemu mbalimbali.
Kama tujuavyo kuwa damu katika mwili ndio husafilisha kila kitu katika mwili wa binadamu ikiwemo mawasiliano na umeme wa mwili kupitia veni za mwili. hivyo damu iikwa ghafla imekatwa katika mishipa iliyopo kwenye ubongo inaweza kusababisha mtu kupooza na kupoteza fahamu.
MAPENZI NI NINI? Mapenzi ni hali ya kuwa na ukaribu wa kihisia kingono kati ya mwanamke na mwanaume. Mvutano wa kihisia kati ya jinsia hizo ...